- Member id 12453626
- Last login date in 3 minutes
- Registration date 5 days ago
Nationality, residency and familial status
- Nationality Tanzania
- Residence Tanzania Dar Es Salaam
- Marital status 30 years Single
With 1 - Marriage type First wife
- Religious commitment Religious
- Prayer Prays Punctually
Looks and health
- Skin color Black
- Height and weight 183 cm , 82 kg
- Body shape Sporty
- Beard Yes
- Health status Healthy
- Smoking No
Education and work
- Educational qualification High school
- Field of work Trade
- Job Commerce - security
- Monthly income Less than 200 dollars
- Financial status Middle Class
About me
-
Mimi ni kijana Mwislamu mcha Mungu na napenda kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Dini ya Kiislam. Napenda upendo- uaminifu na heshima. Kazi yangu ni ___- na nina ndoto ya kujenga familia yenye baraka na utulivu kwa ajili ya Allah. Pia ni msanii wa Qaswida na napenda kuimba na kumdhikiri Allah kupitia sanaa. Mfano wangu ni Sami Yusuf. Ninaamini sanaa ikitumiwa vizuri inakaribisha watu kwa Mwenyezi Mungu. Natafuta amani- maendeleo na maisha yenye hekima. "Mwenye hekima huchagua njia inayompeleka peponi- na mwenye subira hufika mbali".
About my partner
-
Nataka mwenzi mcha Mungu- Mwislamu mwenye imani thabiti na anayefuata mafundisho ya Kiislam. Awe mkweli- mwenye heshima na adabu- na anayetaka ndoa ya kudumu kwa ajili ya Allah. Awe na elimu na kazi yake. Mwenye upendo- mwenye kuelewa maisha- na mwenye nia ya kujenga familia ya Kiislam.
Login